Sababu tatu kupanda nauli za boti Dar-Zanzibar

Unguja. Mamlaka ya Usafiri Baharini (ZMA), imetaja sababu tatu za kupandisha bei ya nauli ya boti za mwendokasi zinazofanya safari zake kati ya Unguja na Dar es Salaam. Nauli hiyo imeongezwa katika huduma hiyo  kwa daraja la kawaida kutoka Sh30,000 hadi Sh35,000. Sababu hizo ni kuongeza kwa gharama za mafuta, matumizi ya Dola ya Marekani,…

Read More

Majaliwa afichua siri Tanzania kupiga hatua kimaendeleo, amani

Dar es Salaam. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema ushiriki wa viongozi wa dini katika mipango ya maendeleo ya jamii unasaidia kwa kiasi kikubwa kusonga mbele. Alisema mahubiri wanayotoa yanayokanya na kukemea maovu yanasaidia kuleta mahusiano mazuri na kuhamasisha uwepo wa amani katika jamii. Wananchi wakiwa katika maombi ya kitaifa viwanja wa Leaders, Dar es Salaam….

Read More

Simba yaanza kufyeka hawa | Mwanaspoti

MASHABIKI wa Simba wanaendelea kuchekelea ushindi wa 23 kwa msimu huu katika Ligi Kuu kwa kuilaza Singida Black Stars, lakini mabosi wa klabu hiyo wameanza kufanya maboresho ya kikosi hicho kimya kimya, ikiwemo kujiandaa kutembeza panga kwa baadhi ya mastaa na kuleta majembe mapya. Simba inashika nafasi ya pili kwa sasa katika msimamo ikiwa na…

Read More

Hamdi ajichorea ramani ya ubingwa

LIGI Kuu imesimama hadi Aprili Mosi wakati ngarambe ya lala salama itapigwa hadi bingwa wa msimu huu atakapopatikana Mei 25, lakini kocha wa watetezi wa taji hilo Yanga, Miloud Hamdi amejipata kwa kukiangalia kikosi alichonacho na mechi zilizosalia anaona nafasi ya kutetea ni kubwa. Yanga imesaliwa na mechi nane ikiwamo wa Dabi ya Kariakoo iliyokwama…

Read More

Maajabu 48 ya Yanga | Mwanaspoti

LICHA ya Yanga kuendelea kupata ushindi katika Ligi Kuu Bara msimu huu, lakini mashabiki wa timu hiyo wanaonekana kutoridhishwa na idadi ya mabao yanayofungwa japo kocha Miguel Gamondi amesisitiza anachoangalia ni pointi tatu pekee. Mabingwa hao watetezi walianza kuifunga Kagera Sugar 2-0, kisha 1-0 dhidi ya KenGold na ushindi kama huo dhidi ya KMC ambayo…

Read More

PROF. SHEMDOE: MAAZIMIO YA MKUTANO WA KIMATAIFA WA SAYANSI WA TAASISI YA NELSON MANDELA YAWEKWE KATIKA   DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO  2050.

  Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi Prof. Riziki Shemdoe akiongea na washiriki wa  Mkutano Mkuu wa Kimataifa wa Upeo wa Kitropiki Uendelevu wa kilimo, mazingira na teknolojia ulioandaliwa na Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela (hawapo pichani) wakati wa ufunguzi wa mkutano huo Julai 17,2024 katika Hoteli ya Mount…

Read More