MACHIFU WATAKA AMANI NA MAADILI YALINDWE

  Mwenyekiti wa Machifu Tanzania Chifu Antonia Matalu akizungumza kwenye mjadala wa Machifu kuhusu mustakabali wa Tanzania kwenye masuala ya amani, mila na desturi, katika mkutano uliofanyika mjini Songea MKUU wa Mkoa wa Ruvuma, Kanali Ahmed Abbas Ahmed akisalimiana na Machifu wakati wa Tamasha la Kitaifa la tatu la Utamaduni litakalofanyika uwanja wa Majimaji Manispaa…

Read More

Haji Mnoga asaini mwaka mmoja England

BEKI wa Salford City na timu ya Taifa, Taifa Stars, Haji Mnoga ameongezewa mkataba wa mwaka mmoja kuendelea kusalia katika kikosi hicho kinachoshiriki League Two (daraja la nne) nchini England. Mnoga alisajiliwa na timu hiyo kwa mkataba wa mwaka mmoja uliokuwa unaisha mwishoni mwa msimu huu. Mmoja wa watu wa karibu wa mchezaji huyo, aliliambia…

Read More

WASIRA AKERWA NA WANAOTUKANA MITANDAONI KWA KISINGIZIO CHA UHURU WA KUTOA MAONI

Na Mwandishi Wetu,Songea  MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema uwepo wa demokrasia na uhuru wa kutoa maoni sio ruhusa ya kuvunja sheria, kutukana watu na kwamba anayefanya hivyo anastahili kuchukuliwa hatua ikiwemo kukamatwa na kuhojiwa polisi. Amesema lengo la uhuru ni kutoa maoni na kufuata sheria ambazo zimewekwa kuifanya…

Read More

Ongezeko magonjwa ya zinaa tishio la ugumba

Morogoro/Dar. Wataalamu wa afya wameonya kuwa jamii inapaswa kuenenda na ngono salama, kwa kuwa ongezeko la magonjwa ya zinaa nchini LInatishia usalama wa afya ya uzazi hasa kwa vijana, kwani yanachochea tatizo la ugumba. Wakitaja athari kwa mwanamke, wamesema huziba mirija ya uzazi, huku magonjwa kama kisonono yakiathiri njia ya kupitisha mbegu kwa mwanaume na…

Read More

MALIASILI SC YATIKISA SINGIDA.

…,………. Club ya Michezo ya Wizara ya Maliasili na Utalii maarufu kama MNRT SPORTS CLUB imeibua gumzo la shangwe Mkoani Singida kwenye mashindano ya Maadhimisho ya Siku ya wafanyakazi Duniani MEI MOSI 2025, Mkoani Singida, kutokana ushujaa wa timu zake hususani timu ya mchezo wa kuvuta kamba wanaume iliyofanya vizuri mpaka mwisho. Baadhi ya wakazi…

Read More

Wahamasishwa kukopa bodaboda na bajaji kujikwamua kiuchumi

Dar es Salaam. Katika kukabiliana na tatizo la ajira nchini, vijana wametakiwa kujitokeza kuomba mikopo ya pikipiki na bajaji za kufanyia biashara kwa lengo la kujikwamua kiuchumi. Hayo yamezungumzwa na Mkurugenzi wa masoko wa Kampuni ya Mohammed Enterprises Tanzania Limited (METL) na Mo Finance, Fatema Dewji alipokuwa akizindua rasmi kampuni ya mikopo Mo Finance itakayokuwa…

Read More

Bao la Mzize bado lamliza Chalamanda

KIPA wa Kagera Sugar, Ramadhan Chalamanda amekiri licha ya kufungwa mabao kibao msimu uliopita, lakini bado anateswa na lile alilotunguliwa na straika wa Yanga, Clement Mzize na ndilo lililokuwa bora kufungwa na lilimshangaza na kumuuzia hadi leo. Chalamanda ambaye ameitumikia Kagera kwa miaka minane mfululizo, ni miongoni mwa makipa wanaoongoza kwa kuokoa akifanya hivyo mara…

Read More