Mashujaa inayokuja itakuwa kali | Mwanaspoti

PAMOJA na kutaja kufikia malengo ya kubaki Ligi Kuu, uongozi wa Mashujaa FC umesema msimu ujao hautaki tena presha ya kusubiri mechi za mwisho kukwepa kushuka daraja, huku ukitangaza kuongeza bajeti kutafuta nafasi nne za juu. Mashujaa ambayo ilishiriki Ligi Kuu kwa mara ya kwanza licha ya kumaliza nafasi ya nane kwa pointi 35, lakini…

Read More

Ramaphosa achaguliwa tena kuwa rais Afrika Kusini

Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa amechaguliwa na wabunge wa nchi hiyo kuanza muhula wa pili madarakani. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Uchaguzi huo wa rais umekuja baada chama cha Ramaphosa cha African National Congress, ANC, kuingia makubaliano na vyama vingine kuunda serikali ya umoja wa kitaifa. Ramaphosa amechaguliwa kwa wingi mkubwa wa kura…

Read More

Biashara, Tabora Utd lazima kieleweke

Kesho itajulikana ni nani atacheza Ligi Kuu Bara msimu ujao kati ya Biashara United ya Mara na Tabora United, ambazo zitamenyana katika mchezo wa marudiano kuwania kucheza ligi hiyo, kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Tabora kuanzia saa 10:00 jioni. Katika mchezo wa kwanza uliochezwa Jumatano kwenye Uwanja wa Karume, Musoma, wenyeji Biashara United walishinda…

Read More

Ahmad, Prisons ndo basi tena, Makatta kumrithi

WAKATI Tanzania Prisons ikithibitisha kocha Ahmad Ally, amevunja mkataba, muda wowote Maafande watamtangaza Mbwana Makata kuiongoza timu hiyo msimu ujao wa mashindano. Ally aliyejiunga na Prisons kwa mkataba wa miaka miwili tangu Novemba 2023 akichukua nafasi ya Fred Felix ‘Minziro’ na aliikuta timu nafasi ya 14 kwa pointi 13 na kumaliza msimu nafasi ya tisa…

Read More

Sudan: Jeshi lasema kamanda mkuu wa waasi aliuawa.

Jeshi la Sudan lilitangaza kuwa Ali Yagoub Gibril, kamanda mkuu wa Kikosi cha Wanajeshi wa Rapid Support Forces (RSF) ambaye alikuwa chini ya vikwazo vya Marekani, aliuawa wakati wa makabiliano katika mji wa Darfur kaskazini uliozingirwa wa El Fasher. Jeshi lilisema kuwa Gibril alikuwa miongoni mwa mamia waliouawa na kujeruhiwa katika mapigano kati ya waasi…

Read More

Mkutano wa kilele wa amani wa Ukraine wafungua pazia Uswisi – DW – 15.06.2024

Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris, Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron na viongozi wa Ujerumani, Italia, Uingereza, Canada na Japan ni miongoni mwa watakaohudhuria mkutano huo wa kilele wa siku mbili utakaofanyika kwenye eneo la mapumziko lenye milima la Buergenstock nchini Uswisi. India, ambayo iliisaidia Moscow kukabiliana na vikwazo vya uchumi vilivyowekwa na mataifa…

Read More

Sahara Ventures yaitangaza rasmi Sahara Sparks 2024

Sahara Ventures imetangaza rasmi tukio la Sahara Sparks 2024 litakalo fanyika tarehe 27 na 28 Septemba katika ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam, Tanzania. Sahara Sparks ni jukwaa linalo waleta pamoja wabunifu mbalimbali wa teknolojia, wafanyabiashara pamoja na wadau mbalimbali wa maendeleo na teknolojia na kuwapa fursa ya kushiriki maonesho ya kibiashara pamoja na…

Read More