SPOTI DOKTA: Kimbia ukate mafuta mwilini

KUMEKUWAPO na matukio mbalimbali ya mbio za hisani, ambayo yamekuwa yakitumika kuhamasisha mazoezi kama nyen-zo ya kukabiliana na magonjwa yasiyoambukiza maarufu kitabibu kama NCD. Katika mbio nyingi viongozi wa serikali, wakuu wa taasisi mbalimbali toka serikalini na binafsi wamekuwa wakionyesha mfano wa umuhimu wa mazoezi kwa jamii ili kukabiliana na magonjwa yasiyoambukiza. Mwanaspoti Dokta ikiwa…

Read More

SERIKALI KUENDELEA KUJENGA UWEZO WA UFANYAJI WA TATHMINI ZA PROGRAMU NA MIRADI KWA WATAALAMU WA UFUATILIAJI NA TATHMINI NCHINI KWA VITENDO

Na Mwandishi wetu-Dodoma. Mkurugenzi wa Idara ya Tathmini na Ufuatiliaji wa Shughuli za Serikali Ofisi ya Waziri Mkuu Bi. Sakina Mwinyimkuu ameeleza kwamba Serikali imedhamiria kujenga uwezo wa kufanya Tathmini za Programu na Miradi kwa vitendo kwa kutumia Programu halisi zinazotekelezwa Nchini. Mkurugenzi huyo alitoa kauli hiyo wakati akifungua mafunzo ya siku nne yanayofanyika katika…

Read More

Tanzania yataja ongezeko shinikizo la juu la damu

Dar es Salaam. Wizara ya Afya nchini Tanzania imesema miongoni mwa magonjwa yasiyoambukiza, shinikizo la juu la damu ndilo linaongoza kwa idadi ya wagonjwa wanaopata matibabu katika vituo vya afya nchini. Kufuatia hali hiyo, Serikali imepanga mikakati mbalimbali pamoja na kuboresha miundombinu, vifaa tiba na mafunzo kwa watoa huduma za afya kwa kuwajengea uwezo watoa…

Read More

Watatu mbaroni tuhuma za kuwauzia wakulima mbegu feki

Njombe. Jeshi la Polisi mkoani hapa kwa kushirikiana na Taasisi ya Kudhibiti Ubora wa Mbegu (TOSCI), limefanikiwa kuwakamata watu watatu wanaotuhumiwa kuwauzia mbegu feki wananchi katika kijiji cha Kidugala wilayani Wanging’ombe. Hayo yamesemwa leo Alhamisi Januari 16, 2025 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Mahamoud Banga wakati akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake…

Read More

WAZIRI KOMBO APONGEZA UJUMBE WA TANZANIA KATIKA MKUTANO WA JPC RWANDA, AHIMIZA KUCHANGAMKIA FURSA ZA USHIRIKIANO

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amewapongeza wajumbe wa Tanzania waliowasili jijini Kigali, Rwanda kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 16 wa Tume ya Kudumu ya Pamoja ya Ushirikiano (JPC) kati ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Rwanda. Akizungumza katika kikao kilichofanyika…

Read More

Beki mpya JKT aota makubwa

BEKI mpya wa JKT Tanzania, Abdulrahim Seif Bausi aliyesajiliwa kutoka Uhamiaji ya Zanzibar, amesema anatambua Ligi Kuu Bara ni ngumu na inahitaji utulivu na kujituma, ili aweze kung’ara msimu ujao. Beki huyo ni mtoto wa kocha wa timu ya taifa ya Zanzibar ‘Zanzibar Heroes’, Seif Bausi, alisema alikuwa anaifuatilia ligi ya Bara, hivyo haoni kama…

Read More