Wakongo wampasua kichwa Ibenge azam
KOCHA wa Azam FC, Florente Ibenge amesema waamuzi wameikwamisha kwenye mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo waliyotoka sare ya bao 1-1, lakini hilo ameachana nalo na sasa akili yake iko DR Congo akiwaza namna watakavyotoka na poiti tatu, huku akifungukia ubora wa AS Maniema akifahamu kwamba wapinzani wao hao wana timu yenye rekodi…