SHINDA ZAWADI KIBAO UKIBASHIRI NA USSD EURO

MICHUANO ya EURO inatarajiwa kuanza leo hii ambapo Meridianbet inakusisitiza kubashiri kwa kutumia USSD uweze kujishindia zawadi kibao. Usisubiri kupitwa na hii ofa ndani ya meridianbet. Promosheni hii ya EURO 2024 na Copa America imekuja maalumu kwaajili yako ili uweze kujishindia zawadi ambazo zinatolewa na Meridianbet kama vile Bajaj mpya, Bodaboda, TV Inch 55, Laptop…

Read More

Heineken Yazindua ‘Afterwork’ By Heineken Nchini Tanzania

Heineken Inaleta Sherehe Maarufu Ya Kimataifa, ‘Afterwork By Heineken’, Nchini Tanzania Wafanyakazi nchini Tanzania walipata fursa ya kipekee ya kupumzika siku ya Alhamisi, tarehe 13 Juni 2024 jioni, wakati kampuni ya kimataifa ya vinywaji, Heineken, ilipozindua sherehe yake maarufu ya kimataifa, ‘Afterwork By Heineken’, katika kituo cha Samaki Samaki Masaki, Tanzania. Samaki Samaki Masaki ambayo…

Read More

Naibu Waziri Chande aipa kongole benki ya Mkombozi

 NAIBU Waziri wa Fedha, Hamad Chande ameipongeza Benki ya Biashara ya Mkombozi,kuwa imepanda kutoka hatua moja kwenda nyingine ndani ya muda mfupi huku amewasihi watendaji wa Benki hiyo kutoridhika na hatua waliyofikia, badala yake waendelee kufanya uhamasishaji ili kuifanya Mkombozi Benki iendelee kukua. Akizungumza Naibu Waziri wa Fedha, Hamad Chande katika Hafla ya Mkombozi Benki…

Read More

BASHUNGWA CUP 2024 KUANZA KURINDIMA MWEZI JULAI

Na Mathias Canal, Karagwe-Kagera Mashindano ya mpira wa miguu yaliyopewa jina la “BASHUNGWA CUP 2024” yataanza kurindima mwanzoni mwa mwezi Julai 2024 katika Wilaya ya Karagwe mkoani Kagera. Mashindano hayo yanayotarajiwa kufanyika kwa miezi miwili yatazinduliwa kata ya Iguruwa yakihusisha timu 77 kutoka vijiji 77 vya Halmashauri hiyo ambavyo vitaunda timu 23 kutoka kata 23…

Read More

Safari ya MCL kuelekea mustakabali endelevu wa mazingira

Dar es Salaam. Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) imeahidi kuendelea kutoa maudhui kwa njia ya dijitali kupunguza athari za uharibifu wa mazingira. Mkurugenzi Mtendaji wa MCL, Bakari Machumu amesema kampuni imejitathmini na sasa imejikita zaidi katika mitandao ya kijamii ingawa bado inaendelea na uchapishaji wa magazeti. Machumu amesema haya kwenye Jukwaa la Fikra lililoandaliwa…

Read More