
Naibu Waziri Chande aipa kongole benki ya Mkombozi.
Naibu Waziri wa Fedha, Hamad Chande ameipongeza Benki ya Biashara ya Mkombozi,kuwa imepanda kutoka hatua moja kwenda nyingine ndani ya muda mfupi huku amewasihi watendaji wa Benki hiyo kutoridhika na hatua waliyofikia, badala yake waendelee kufanya uhamasishaji ili kuifanya Mkombozi Benki iendelee kukua. Akizungumza Naibu Waziri wa Fedha, Hamad Chande katika Hafla ya Mkombozi Benki…