
Hofu yazuka ya vita kamili kati ya Israel na Hezbollah – DW – 14.06.2024
Hofu inazidi kuongezeka kuhusu uwezekano wa kutokea vita kamili kati ya wanamgambo wa Hezbollah wa Lebanon na Israeli. Tangu shambulio lililofanywa na Hamas kusini mwa Israel mnamo Oktoba 7, 2023, ambalo liliua takriban watu 1,200, hali katika mpaka wa Israel na Lebanon imezidi kuwa ya wasiwasi. Mapema mwezi Juni, mashirika ya kutetea haki za binadamu…