
Father: Bocco karusha taulo mapema!
SIKU chache baada ya Simba kutangaza kumtema aliyekuwa nahodha wa timu hiyo, John Bocco ambaye kwa sasa ameteuliwa kuwa kocha mkuu wa timu ya vijana ya klabu hiyo U17, makocha kadhaa akiwamo Idd Pazi ‘Father’ amedai kushangazwa na nyota huyo kutupa taulo mapema. Pazi, nyota wa kimataifa wa Tanzania aliyewahi kuwika na Majimaji, Simba na…