
ANC yakubali kuungana na DA Afrika Kusini
Johannesburg. Baada ya vuta nikuvute kwa takribani wiki mbili, hatimaye Chama cha African National Congress (ANC) kimekubali kuungana na Democratic Alliance (DA) ili kuunda Serikali. Mapatano hayo yamekuja zikiwa zimepita mbili tangu uchaguzi kufanyika Mei 29, 2024 ukishindwa kutoa mshindi atakayeunda Serikali. Kwa mara ya kwanza tangu Serikali ya Wazungu wachache kusitishwa mwaka 1994, ANC…