
Dk Mwigulu atamani nembo ya Yanga kwenye noti ya Sh100
Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba amesema kwa mafanikio ambayo timu ya Yanga imeyapata anatamani kumshauri Gavana wa Benki Kuu (BoT) kuweka nembo ya klabu hiyo kama kungekuwa na noti ya Sh100 kuyaenzi mafanikio hayo. Dk Mwigulu ametumia sehemu ya hotuba yake ya uwasilishaji wa Bajeti ya Serikali 2024/25 ya Sh49.3 trilioni jana Alhamisi, Juni…