NBC yaahidi kuendelea kuunga mkono Serikali za Mitaa

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imesisitiza dhamira yake ya kuunga mkono jitihada mbalimbali zinazofanywa na Mamlaka za Serikali za Mitaa (LGAs) katika kuwawezesha na kukuza maendeleo endelevu kwa manufaa ya jamii. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Mkurugenzi wa wateja wakubwa na Shughuli za Serikali wa NBC, James Meitaron (pichani) akizungumza kwenye Mkutano Mkuu wa…

Read More

Sababu uzinduzi kituo cha gesi UDSM kupigwa kalenda

Dar es Salaam. Uzinduzi wa kituo cha kujaza gesi kwenye vyombo vya moto eneo la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kilichopangwa kuzinduliwa leo, Jumatatu, Februari 3, 2025 umeahirishwa kwa mara nyingine. Meneja Msimamizi wa mradi wa CNG Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Aristides Katto akizungumza na Mwananchi leo amesema kuahirishwa huko…

Read More

Kaeni kwa kutulia sasa! | Mwanaspoti

WAKATI timu za Ligi Kuu Bara zikiendelea kujifua kwa ajili ya msimu ujao wa mashindano, wawakilishi wanne wa Tanzania katika michuano ya kimataifa Simba, Yanga, Azam na Coastal Union zinajiandaa kufunga hesabu za maandalizi kabla ya kuanza mchakamchaka wa mashindano ya msimu mpya. Yanga iliyopo Afrika Kusini na Azam iliyoweka kambi Morocco zitashiriki Ligi ya…

Read More

Siku 15 za maumivu kwa Kombo

Handeni. Kombo Mbwana, mmoja wa maofisa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoani Tanga, hivi karibuni alikamatwa na kushtakiwa kwa kesi ya jinai inayojumuisha mashitaka matatu chini ya Sheria ya Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta. Kombo alifunguliwa mashitaka katika Mahakama ya Wilaya ya Tanga, kwa makosa ya kushindwa kusajili laini ya simu ambayo awali…

Read More

Sifael alivyofuta enzi ya wachanganya udongo

Dar es Salaam. Sifael Shuma (92), ambaye alikuwa mmoja wa vijana wanne waliokuwa sehemu ya tukio la kihistoria la kuchanganya udongo wakati wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar mwaka 1964, alifariki dunia Februari 20, 2025 na hivyo kuwa wa mwisho kati ya washiriki hao kuaga dunia. Katika uhai wake, Shuma alitamani kuona muundo wa Muungano…

Read More

Wawakilishi saba wa LBL mbaroni Geita

Geita. Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita linawashikilia watu saba ambao ni wawakilishi wa Kampuni ya Leo Beneth London (LBL) kwa tuhuma za kuendesha biashara ya fedha mtandaoni bila kuwa na kibali cha Benki Kuu ya Tanzania. Kaimu Kamanda Maro amesema watu hao waliopo mji mdogo wa Katoro wamekuwa wakiwatoza wananchi fedha kati ya Sh50,000…

Read More

Vyuo nje ya nchi kutoa ufadhili wanafunzi wa Tanzania

-Fursa za elimu ya juu kimataifa sasa kupatikana Dar Na Mwandishi Wetu WAKALA wa Elimu Nje ya nchi Global Education Link inatarajia kuwakutanisha wanafunzi wa Tanzania na vyuo vikuu zaidi ya 20 kutoka nchi mbalimbali duniani katika maonyesho jijini Dar es Salaam ambapo wanafunzi watapata fursa ya kujua fursa za kusomea kozi mbalimbali kwenye vyuo…

Read More

Rais Samia Azindua Kiwanda Cha Magari Kigamboni Dar Es Saalam

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amezindua kiwanda cha SaturnCorporation Limited Wilaya ya Kigamboni jijini Dar es Salaam leo tarehe 9 Mei, 2024.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwahutubia Viongozi pamoja na Wananchi wa Kigamboni na maeneo jirani mara baada ya kuzindua Kiwanda cha Kuunganisha Malori…

Read More