
Wafanyabiashara 42 wa Comoro kushiriki maonyesho ya Sabasaba 2024
Dar es Salaam. Wafanyabiashara 42 kutoka nchini Comoro , wanatarajiwa kushiriki maonyesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam, maarufu Sabasaba.Maonyesho hayo hufanyika kila mwaka katika viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam , ambapo taasisi, mashirika na kampuni mbalimbali huwa zikionyesha na kutangaza bidhaa na huduma inazozitoa. Katika taarifa yake…