
RAIS SAMIA ANAITEGEMEA TSC KUMALIZA CHANGAMOTO ZA WALIMU NCHINI-MHE. MCHENGERWA
Na. OR-TAMISEMI Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema Rais Samia anawategemea wajumbe wateule wa Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC) kumaliza changamoto mbalimbali zinazowakabili walimu nchini. Mhe. Mchengerwa amesema hayo, mara baada ya kuwaapisha wajumbe wa Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC) aliowateua Juni 03, 2024 kwa mujibu wa…