
Mido Biashara United akiri mambo magumu
KIUNGO mshambuliaji wa Biashara United, Pascas Wagana amesema wana kazi kubwa ya kukipambania kikosi hicho kubakia Ligi ya Championship, baada ya malengo ya awali ya kuirejesha Ligi Kuu Bara kuota mbawa. Akizungumza na Mwanaspoti, Wagana aliyewahi kuichezea pia Mbuni FC ya jijini Arusha, alisema kitendo cha kukatwa pointi 15, huku aliyekuwa rais na mfadhili wa…