IFP wakubali kuungana na ANC kuunda serikali

Chama cha upinzani nchini Afrika Kusini, Inkatha Freedom Party (IFP) kimetangaza kuwa kitashirikiana na chama tawala cha African National Congress (ANC) huku ANC kuunda serikali ya muungano itakayoweza kuongoza baada ya uchaguzi wa tarehe 29 Mei mwaka huu. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Bunge jipya linatarajiwa kukutana kwa mara ya kwanza mjini Cape Town…

Read More

Serikali yatoa sababu kupungua mikopo chechefu

Dar es Salaam. Taarifa ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa 2024/2025 inaonesha kasi ya kiwango cha  mikopo chechefu kutoka asilimia 5.5 Aprili 2023 hadi asilimia 4.3  katika kipindi kinachoishia mwezi Aprili, 2024. Kupungua kwa mikopo chechefu kulitokana na hatua mbalimbali zilizoendelea kuchukuliwa na Benki Kuu ya Tanzania zikiwemo kuongeza ufuatiliaji wa utoaji mikopo na kuwaondoa…

Read More

GGML KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA UDSM KUDHAMINI TAFITI,UBUNIFU

Na Mwandishi Wetu KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imeahidi kuendelea kushirikiana na Serikali kupitia Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) katika kuendeleza tafiti na ubunifu zinazoendelea kufanyika ndani ya nchi ili kutoa majibu ya changamoto mbalimbali zinazoikabili jamii ya watanzania.Hayo yamebainishwa mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam na Makamu Rais wa…

Read More

Vijana tumieni mitandao kuzungumza mazuri ya serikali.

Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Rehema Sombi Akiwa Mkoani Geita amewataka vijana waendelee kuwa watumiaji wazuri wa mitandao ya kijamii haijalishi ni aina gani ya mtandao ya Kijamii wanayo tumia. Sombi ametoa kauli hiyo wakati akifungua kambi la Vijana la umoja huo katika kijiji cha Namonge Wilaya ya…

Read More

Tanzania yafanya tathmini ya viwanda na mashamba yaliyobinafsishwa

Dodoma. Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali inafanya tathmini ya mashamba na viwanda vilivyobinafsishwa na vitakavyobainika kuwa havifanyi kazi vitarejeshwa kwa umma. Majaliwa ameyasema hayo leo Alhamisi Juni 13, 2024 wakati akijibu swali la papo kwa papo la Mbunge wa Korogwe Vijijini (CCM), Thimotheo Mzava. Amesema kwa nyakati tofauti wameshuhudia kusimama kwa ghafla…

Read More

Michael Mchanjale kufungwa miaka 30 jela kosa la ubakaji.

Mahakama ya Wilaya ya Gairo imemuhukumu kifungo Cha miaka 30 jela makazi wa Chakwale, Michael Mchanjale (31) baada ya kumtia hatia kwa kosa la kumbaka mtoto wa shemeji yake mwenye umri wa miaka 15 ambaye ni mwanafunzi wa kidato Cha kwanza. Akisoma hukumu hiyo hakimu mkazi Mwanadamizi Mfawidhi, Irene Lyatuu alisema mshitakiwa huyo ametiwa hatia…

Read More

Serikali yaeleza matumizi ya Sh15.9 trilioni za bajeti

Dar es Salaam. Serikali imetenga kiasi cha Sh15.9 trilioni kwa ajili ya kugharamia shughuli za maendeleo ikiwa ni utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo wa Taifa 2024/2025. Kati ya fedha hizo, Sh12.3 trilioni ikijumuisha Sh1.1 trilioni za ruzuku ya maendeleo kwa ajili ya elimu ya elimumsingi bure na Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya…

Read More

NDO HIVYO: Usajili unavyoneemesha, kutafuna wachezaji

TUNASHUHUDIA maisha ya wanasoka yakianza kubadilika mara wanaposaini mikataba ya kuchezea timu kubwa za Ligi Kuu za nchi mbalimbali kama ya Tanzania Bara, ambako timu vigogo  ni Azam, Simba na Yanga. Mchezaji aliyekuwa na maisha ya kawaida huanza kuonekana ananunua gari dogo na baadaye kununua kiwanja na mwaka mwingine anaonekana anaanza kujenga. Miaka yake mitano…

Read More