
RAIS SAMIA: BEI YA MAHINDI SASA SHILINGI 700; MBEGU ZA RUZUKU ZA MAHINDI KUANZA MSIMU UJAO
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya majumuisho ya ziara ya siku tatu mkoani Rukwa Julai 17, 2024 mbele ya maelfu ya wananchi wa Rukwa. “Waziri Bashe nakuagiza nendeni na bei ya shilingi 700 ya mahindi. Na msimu ujao twende na ruzuku ya mbegu za mahindi na mbolea,” ameelekeza…