
Jukumu la kutunza mazingira wajibu wa kila mtu
Dar es Salaam. “Safari kuelekea mustakabali wenye urafiki na mazingira,” hii ni mada itakayojadiliwa kesho kwenye Jukwaa la Fikra lililoandaliwa na Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL). Mada hii imekuja kipindi ambacho dunia inakabiliwa na changamoto mbalimbali za mazingira, hasa mabadiliko ya tabianchi. Lengo ni kuleta suluhu ya pamoja na endelevu kwa mustakabali wa nchi….