
Kesi ya Kombo wa Chadema aliyedaiwa kutekwa kuendelea tena leo
Dar es Salaam. Kesi inayomkabili mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoani Tanga, aliyepotea kwa mwezi mzima kisha baadaye akapandishwa kizimbani na Jeshi la Polisi Tanga, Kombo Mbwana, leo Julai 30, 2024 inaendelea katika Mahakama ya Wilaya ya Tanga. Kesi hiyo ya jinai namba 19759 ya mwaka 2024, ilipangwa leo Jumanne Julai 30,…