
Yanga yapiga 120, ikimpiga mtu 2-1
YANGA imecheza mchezo wa kirafiki wa kujipima nguvu dhidi ya Fountain Gate ikishinda kwa mabao 2-1. Mchezo huo umepigwa leo katika Uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam katika kupima pumzi ya wachezaji na katika hilo kocha wa Yanga, Romain Folz akawataka Fountain Gate kucheza kwa dakika 120. Akili ya Folz ni kutaka kupima vifua…