Josiah afichua ishu ya Ally Salim
LICHA ya kipa namba moja wa Dodoma Jiji, Ally Salim kukosekana uwanjani kutokana na majeraha ya bega, lakini kocha Amani Josiah amesema hatakuwa na haraka ya kumtumia, kwani lengo ni kumuona akiwa fiti zaidi. Akizungumza na Mwanaspoti, Josiah amesema kipa huyo anaendelea na programu maalumu ya madaktari wa kikosi hicho, ingawa muda si mrefu mashabiki…