
TPDC yaimarisha huduma za kijamii katika maeneo ya Gesi Asilia
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) linaendelea kuunga mkono juhudi za Serikali katika kuboresha huduma za kijamii kwenye maeneo ambako shughuli za utafutaji, uzalishaji, usafirishaji na usambazaji wa gesi asilia zinafanyika. Huduma mbalimbali za kijamii kama afya, elimu, maji na utawala bora zinaimarishwa kama sehemu ya Uwajibikaji wa Shirika…