Vedastus Masinde sasa atajwa Msimbazi

BAADA ya mabosi wa JKT Tanzania kuweka ngumu juu ya upatikanaji wa beki wa kati aliyekuwa akiwindwa na Simba, Wilson Nangu inadaiwa mabosi wa Msimbazi wameanza kumpigia hesabu na kufanya mazungumzo na beki wa kati wa TMA Stars, Vedastus Masinde. Simba inapambana kunasa saini ya Nangu anayetajwa kuwa na mkataba na maafande hadi 2028, huku…

Read More

KONA YA MALOTO: Kifua cha Marko Ng’umbi kina mengi kuhusu uhalifu wa kidola

Mwanazuoni wa Ujerumani, Friedrich Nietzsche alishaweka sawa tafsiri kuhusu uhalifu wa kidola, ni makosa yote yenye kufanywa na dola kimfumo au kiongozi mmoja mmoja.Kutanua tafsiri; vitendo vya rushwa na ufisadi, uharibifu wa uchaguzi na ukandamizaji wa demokrasia, uvunjifu wa Katiba, hata ukiukwaji wa sheria. Makosa yoyote yenye kufanywa serikalini moja kwa moja hubeba mantiki ya…

Read More

Mabingwa Misri kumpa dili nono Mtanzania

BAADA ya kufanya vizuri kwenye msimu wake wa kwanza tu wa ligi, Mabingwa wa Ligi ya Wanawake FC Masar imemuandalia dili nono Mtanzania Hasnath Ubamba. Ubamba alisajiliwa msimu huu kwa mkopo wa mwaka mmoja akitokea Fountain Gate Princess ya Tanzania. Taarifa ilizopata Mwanaspoti kutokea Misri ni timu hiyo iko kwenye mchakato wa kumnunua moja kwa…

Read More

Guede kumpisha Sowah Yanga | Mwanaspoti

YANGA ipo kwenye mazungumzo ya kumpata mshambuliaji raia wa Ghana, Jonathan Sowah kwa mkopo wa mwaka mmoja kutoka Al-Nasr Benghazi ya Libya aliyojiunga nayo Januari mwaka huu kwa mkataba wa miaka miwili akitoka Medeama. Inaelezwa endapo dili lake litakamilika, kuna uwezekano mkubwa wa Yanga kutemana na raia wa Ivory Coast, Joseph Guede aliyejiunga na Yanga…

Read More

Mjumbe wa UN anahimiza Colombia ‘kukaa kozi’ kwani amani inakabiliwa na aina mpya – maswala ya ulimwengu

Kufupisha Baraza la Usalama Kwa mara ya mwisho kama Mkuu wa Ujumbe wa Uhakiki wa UN, mwakilishi maalum Carlos Ruiz Massieu alisema makubaliano ya amani yalitoa mfano wa kushughulikia sababu za migogoro. “Makubaliano ya mwisho ya amani ya 2016 yalitoa njia ya kufuatwa: barabara kamili na kamili ya kushughulikia maswala ya kimuundo ya kina ambayo…

Read More

Fei Toto amkingia kifua Prince Dube

KIKOSI cha Yanga jana usiku kilikuwa uwanjani kurudiana na CBE SA ya Ethiopia katika mechi ya raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika, huku mashabiki wakiwa bado wanamuota Prince Dube kwa kitendo cha kupoteza nafasi nyingi kwenye mchezo wa kwanza ugenini, sasa kiungo mshambuliaji wa zamani wa timu hiyo anayekipiga Azam FC, Feisal Salum…

Read More