Straika Coastal apiga hesabu za Simba

WAKATI safu ya ulinzi ya Simba ikiongozwa na beki Mcameroon, Che Malone Fondoh ikiwa haijaruhusu bao lolote katika mechi nne za Ligi Kuu Bara msimu huu, imeonekana kumpa kazi mpya mshambuliaji wa Coastal Union, Maabad Maulid, akianza kupuiga hesabu kali kabla ya kesho timu hizo kukutana. Maabad  ndiye mshambuliaji kinara wa Coastal, akiwa na mabao…

Read More

Chadema yajibu kauli za Lissu, Dk Slaa

Dar es Salaam. Ni kawaida kwa viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kujitokeza hadharani kukanusha hoja zinazoibuliwa na makada wake. Safari hii chama hicho kimeibuka kumjibu kada wake ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti-Bara, Tundu Lissu, ikiwa ni baada ya siku 89 kupita tangu kilipomjibu juu ya madai ya rushwa ndani ya chama hicho….

Read More

Wachunguzi wa Haki za UN – Maswala ya Ulimwenguni

Wakati huo huo, shambulio lingine Jumanne liliripotiwa kuwauwa raia watano na kujeruhi watatu katika mkoa wa Kharkiv, ulioko mashariki mwa Ukraine. Kulingana na viongozi, vikosi vya jeshi la Urusi viliangusha mabomu kadhaa yenye nguvu kwenye Bilenkivska Adhabu ya Adhabu ya Colony Na. 99 mnamo 28 Julai. Gereza hilo liko karibu kilomita 25 kutoka mstari wa…

Read More

Mzalishaji pombe bandia aishukuru Mahakama kumtia hatiani

Dar es Salaam. Mfanyabiashara aliyekuwa akimiliki kiwanda bubu cha kutengeneza na kusambaza pombe kali bandia, Frank Donatus Mrema na wenzake wawili aliokuwa amewaajiri katika kiwanda hicho, wamehukumiwa adhabu ya kifungo cha maisha jela, huku mmoja akimwaga shukrani kwa Mungu na Mahakama baada ya kutiwa hatiani. Frank na wenzake hao, Faham Salim Ngoda na Issa Juma…

Read More

Kapteni Traore atoa msimamo wanajeshi 21 waliojaribu kupindua Serikali

Ouagadougou. Rais wa mpito wa Burkina Faso, Kapteni, Ibrahim Traoré, amewasamehe wanajeshi 21 waliokutwa na hatia ya kujaribu kupindua Serikali ya nchi hiyo karibu muongo mmoja uliopita. Taarifa ya kusamehewa kwa wanajeshi hao imetolewa jana Jumatatu Machi 31, 2025na kuchapishwa  na vyombo vya habari vya ndani siku ya Jumatatu. Inaripotiwa kuwa Traoré alitangaza msamaha Desemba…

Read More

Mangungu, Hersi bungeni wasitusahau | Mwanaspoti

KUNA roho fulani inaniambia kuwa viongozi wawili wa juu wa klabu za Simba na Yanga watajitosa kuwania ubunge katika Uchaguzi Mkuu ujao wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Viongozi hao ni Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Murtaza Mangungu na Rais wa klabu ya Yanga, Mhandisi Hersi Said. Kwa namna ambavyo hawa watu wamepata mafanikio katika…

Read More

Mafuriko yakata mawasiliano Ulanga – Malinyi

Ulanga. Mvua za masika zinazoendelea kunyesha zimesababisha kukatika kwa barabara ya Ulanga -Malinyi baada ya mto Namuhanga kufurika na karavati lake kubwa kusombwa na maji eneo la Ilagua, hivyo kufanya barabara hiyo kushindwa kupitika kuanzia Mei 4 usiku hadi leo hii Mei 5, 2025. Barabara hiyo hadi sasa haipitiki na kufanya wananchi kuteseka na kutumia…

Read More