
RAIS SAMIA AFUNGUA NCHI KIMATAIFA
Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Doto Biteko amekutana na Naibu Waziri wa Nishati wa Marekani Mhe. David Turk kuzungumzia masuala mbalimbali ikiwemo uwekezaji katika Sekta ya Nishati nchini. Mkutano huo umefanyika Juni 12, 2024 jijini Dar es Salaam na kubainisha maeneo kadhaa…