
UDSM yaja na bajaji inayotumia maji na mafuta
Dar es Salaam. Wakati biashara ya usafirishaji ikiendelea kukua nchini, watu wanaendelea kubuni njia rahisi zitakazowawezesha kufanya shughuli zao kwa urahisi na kuwapunguzia gharama za uendeshaji. Hilo limeonekana kwa Andrew Mmbanga kutoka Ndaki ya Uhandisi na Teknolojia (CoET) ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), ambaye amebuni bajaji inayotumia maji na mafuta. Amesema kwa…