
Watumishi wa umma wadai Serikali mabilioni
Dodoma. Serikali imesema hadi kufikia Aprili 30, 2024, madeni ya watumishi wa umma yaliyohakikiwa na kukidhi vigezo vya kulipwa yanayohusu likizo, uhamisho na kusafirisha mizigo baada ya kustaafu ni Sh285.17 bilioni. Hayo yamesemwa leo Jumatano Juni 12 2024 na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais -Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani…