UN yaonya juu ya kuongezeka kwa mgogoro chini ya utawala wa kimabavu wa Taliban – Masuala ya Ulimwenguni

Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu nchini Afghanistan, Roza Otunbayeva, alisema watawala wakuu wa nchi hiyo ambao wameweka tafsiri yao wenyewe ya sheria kali za Kiislamu “wametoa kipindi cha utulivu ambacho hakijaonekana katika miongo kadhaa” nchini Afghanistan, lakini idadi ya watu iko karibu. hatari ya mzozo mbaya wa kibinadamu na maendeleo kadiri ufadhili wa kimataifa unavyopungua….

Read More

RAIS DKT. SAMIA ANAGUSWA NA KUJALI MAISHA YA WAFANYAKAZI

*Amenyanyua kikokotoo, Ndejembi asema huo ni mwanzo tu Nukuu za Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Deogratius Ndejembi- Bungeni “Bajeti Kuu ya Serikali ya Mwaka wa fedha 2024/2025 ambayo tunaenda kuipitisha inaonyesha ni namna gani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu…

Read More

Maria Sarungi asimulia namna alivyotekwa Kenya

Nairobi.  Mwanaharakati na mhariri wa kujitegemea, Maria Sarungi amedai  kuwa, watu wanne walimteka jana eneo la Kilimani jijini Nairobi, Kenya. Taarifa za madai ya kutekwa kwa Maria zilianza kusambaa jana jioni kwenye mitandao ya kijamii, baada ya Shirika la Kimataifa la Kutetea Haki za Binadamu, Amnesty International, kuchapisha taarifa kuhusu tukio hilo kwenye ukurasa wake…

Read More

Hawa wanaweza kuwa sapraizi | Mwanaspoti

Mwisho wa tambo kwa mashabiki wa Yanga na Simba ambao kila mmoja anavutia ushindi upande wake ni Jumamosi kwenye uwanja wa Benjamini Mkapa ambapo hii itakuwa ni nafasi kwa Mnyama kulipiza kisasi cha mzunguko wa kwanza au Wananchi kuendeleza ubabe katika mchezo huo wa dabi. Tofauti na ilivyokuwa katika mchezo wa mzunguko wa kwanza, Simba…

Read More

Camara wa Berkane aipa saluti Simba

Zanzibar. Licha ya ushindi wa mabao 2-0 walioupata katika fainali ya kwanza dhidi ya Simba SC huko Morocco, kiungo Mamadou Camara wa RS Berkane amesema kuwa hawatarajii mechi  nyepesi katika mechi ya marudiano ya  fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kwenye Uwanja wa Amaan. Camara ambaye ni raia wa Senegal, amesema wanaiheshimu Simba kama timu…

Read More

UTENDAJI WA PSPTB WAPONGEZWA NA WAJUMBE WA BARAZA

Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) imefanya kikao cha Baraza la wafanyakazi leo ili kujadili mafanikio, mafanikio, changamoto na njia za kuweza kutatua changamoto zilizojitokeza wakati wa bajeti mwaka uliopita ya 2023/2024. Akizungumza kwenye kikao hicho Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Wataalamu Ununuzi na Ugavi Godfred Mbanyi amesema baraza ni chombo kinachoundwa na…

Read More

Dk. Ndumbaro atuma ujumbe  mzito TEFA ikizindua ofisi

Na Winfrida Mtoi, Mtanzania Digital Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Damas Ndumbaro, amekitaka Chama Cha Soka Wilaya ya Temeke(TEFA), kulinda na kuendeleza  heshima ya kimpira  wilayani humo kwa kuepuka migogoro. Dk. Ndumbaro alipiga simu wakati  hafla ya uzinduzi wa ofisi za chama hicho uliofanyika  leo Mei 10, 2024 kwenye Uwanja wa TEFA, Tandika,…

Read More