
Wakazi wa Gairo walia ukosefu wa maji safi
Gairo. Wakazi wa Kijiji cha Ngiloli kilichopo katika Wilaya ya Gairo mkoani Morogoro wameiomba Wakala wa Maji Safi na Usafi wa Mazingira Vijijini (Ruwasa) wilayani humo kuwafikishia huduma za maji kwenye ili kuondokana na adha wanayoipata. Akizungumza na Mwananchi Digital leo Juni 12, 2024, mkazi wa kijiji cha Ngiloli, Mariam Elias amesema ukosefu wa huduma…