
Baba afikishwa mahakamani kwa kumbaka mtoto wake wa kufikia
Dar es Salaam. Mkazi wa Mvumoni jijini hapa Ramadhan Utulo(38), amefikishwa katika mahakama ya Wilaya Kinondoni akikabiliwa na tuhuma za kubaka mtoto wake wa kufikia mwenye umri wa miaka 12. Utulo alifikishwa mahakamani hapo na kusomewa shtaka na Wakili wa Serikali Harrison Lukosi mbele ya Hakimu Irene Josiah. Lukosi alidai mshtakiwa huyo alitenda kosa hilo…