
Bunge la Kongo laidhinisha serikali ya Waziri Mkuu Suminwa – DW – 12.06.2024
Wabunge waliidhinisha kwa uwingi mpango huo wa utekelezaji ambao vipaumbele vyake vimekusanywa katika nguzo sita. Nazo ni kujenga uchumi ili kuunda kazi na kulinda uwezo wa ununuzi, kulinda mamlaka ya kitaifa na usalama wa raia pamoja na mali zao, kuhakikisha upatikanaji wa huduma za msingi za kijamii, kuimarisha uwezo wa Wakongo kushiriki katika ujenzi wa nchi, kusimamia ipasavyo…