
KATAMBI: VIJANA WANUFAIKA MAFUNZO YA UANAGENZI KUWEZESHWA VITENDEA KAZI
Na; Mwandishi Wetu – Dodoma Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Mhe. Patrobas Katambi amesema serikali kupitia ofisi hiyo imepanga kwa Mwaka wa fedha 2025/26 kutoa Sh. Milioni 637 zitakazowasaidia vijana wanaofuzu mafunzo ya uanagenzi kupewa vitendea kazi. Mhe. Katambi amesema hayo wakati akichangia hoja za Wabunge mbalimbali…