
Ukraine yadungua makombora ya Urusi yaliyoulenga mji wa Kyiv – DW – 12.06.2024
Kulingana na maafisa wa utawala wa Kyiv, makombora yalivurumishwa kutoka kusini mara kadhaa, pamoja na ndege hizo zisizo na rubani zikiulenga mji mkuu. Mashuhuda wamesema walisikia angalau mripuko mkubwa katika mji mkuu, ambapo tahadhari ya uvamizi wa anga ilidumu kwa saa mbili. Kwa mujibu wa polisi, shambulizi hilo lilisabisha moto na kumjeruhi mtu mmoja. Soma…