
NAIBU WAZIRI SILINDE ATOA TAMKO WENYE MADENI YA CHAI
NAIBU Waziri wa Kilimo, David Silinde ameagiza wamiliki wa viwanda mbalimbali nchini vya chai kuhakikisha wanalipa madeni ya wakulima wa chai na Bodi ya Chai Tanzania itoe ripoti serikalini namna ambavyo malipo hayo yatafanyika ifikapo Juni mwaka huu. Silinde pia amesema wizara hiyo inataka inajenga viwanda saba vipya vya chai nchini kwa lengo la kuondoa…