
Watano kizimbani kwa madai ya wizi wa mali ya Sh892 milioni
Dar es Salaam. Mkazi wa Mikocheni, Elizabeth Timasi (76) na wenzake wanne, wamefikishea katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni kujibu mashtaka matatu, likiwamo la kuvunja duka na kuiba mali yenye thamani ya Sh892 milioni. Mbali na Timasi ambaye ni mfanyabiashara, washtakiwa wengine ni daktari Suzan Charles (52), Neema Timasi (43), mfanyabiashara, Jonathan Masanga (76) na…