JUZUU LENYE SHERIA ZOTE LAKABIDHIWA KWA DKT TULIA

……,….,… Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU)  Dkt. Ackson (Mb) amepokea Juzuu za Sheria kutoka kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali  Hamza Johari (Mb), leo tarehe 26 Juni, 2025. Juzuu hizo ni mkusanyiko wa Sheria zote zilizotungwa katika Bunge la 12.  Spika ameipongeza Ofisi ya…

Read More

SERIKALI YATOA 3.5bn KUJENGA BARABARA YA LAMI MILOLA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imepeleka fedha za ujenzi wa barabara mkoani Lindi na amemwagiza Meneja wa TANROADS wa mkoa huo, Mhandisi Emil Silas Zengo ahakikishe barabara ya Kata ya Milola inawekwa lami mapema iwezekanavyo. Amefikia hatua hiyo baada ya Mhandisi Zengo kukiri kuwa walishapokea fedha kiasi cha sh.bilioni 3.5 ambazo zililenga kujenga barabara…

Read More

Mradi wa Bomba la Mafuta la Afrika Mashariki Wafikia Asilimia 47.1, Utekelezaji Watarajiwa Kukamilika 2026

SHIRIKA la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limesema kuwa hadi sasa utekelezaji wa Mradi wa Ujenzi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (Hoima, Uganda-Tanga, Tanzania) umefikia asilimia 47.1 na unatarajia kukamilika Julai, 2026. Mradi huo ni Moja ya miradi ya kimkakati inayotekelezwa kwa Ushirikiano kati ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania…

Read More

Mpanzu: Msijali atuma ujumbe kwa mashabiki Simba

MECHI saba tu zimetosha kwa kiungo wa Simba Ellie Mpanzu kuweka wazi kuhusu kile kilichompeleka katika kikosi hicho, huku akiweka wazi kuwa hana presha kabisa ya kufunga. Mpanzu ambaye alianza kucheza baada ya dirisha dogo, amecheza mechi nne za ligi na kutoa asisti mbili(dakika 220) tatu za kimataifa sawa na dakika 258. Tangu atue kwenye…

Read More

Utata polisi ikimsaka anayedaiwa kupotea Dar

Dar es Salaam. Wakati Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam likitangaza kufuatilia taarifa iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii ya kupotea Adinani Hussein Mbezi (32), mkewe Pendo Simon anadai anashikiliwa na jeshi hilo. Kwa mujibu wa taarifa za mitandao ya kijamii, Adinani maarufu Adam, mkazi wa Kinyerezi, Mtaa wa Faru alipotea Septemba 12,…

Read More

Geay ageukia New York Marathon

BAADA ya kushindwa kutamba katika marathoni za Olimpiki zilizofanyika Paris, Ufaransa mwaka huu, mwanariadha Gabriel Geay amesema kuwa nguvu zote kwa sasa amezielekeza kwenye mbio za New York City Marathon. Akizungumza na Mwanaspoti, Geay alisema japokuwa ni mara ya kwanza kushiriki mbio hizo, lakini anaamini atakwenda kufanya vizuri kulingana na namna ambavyo anaendelea kufanya mazoezi….

Read More

Pamba Jiji yaziendea msituni pointi sita

PAMBA Jiji imekubaliana na kipigo ilichokipata katika robo fainali ya Kombe la Shirikisho (FA), lakini imesema haitakubali kuona inashindwa kupata pointi sita katika mechi mbili zijazo katika Ligi Kuu Bara ili kuwa sehemu salama zaidi. Timu hiyo inayoshiriki Ligi Kuu Bara msimu huu kwa mara ya kwanza baada ya kupita takribani miaka 23, Jumatatu wiki…

Read More

Heinken yanunua kampuni za Distell na Namibia Breweries

Na Mwandishi wetu, Mtanzania Digital Kampuni ya Heinken imetangaza kununua kampuni ya Distell Group Holdings(‘Distell’) na ile ya Namibia Breweries (NBL) ambapo ununuzi huo unafikia zaidi ya Euro Bilioni 1 katika mapato halisi. Pia, ununuzi huo umefikia Euro milioni 150 katika faida ya uendeshaji wa nyayo zao za Afrika ambapo utachangia kwa kiasi kikubwa ukuaji…

Read More