Kidunda: Ubabe mtaani ulivyompeleka ulingoni

MOJA kati ya stori kubwa ya kichekesho aliyowahi kukutana nayo bondia wa ngumi za kulipwa nchini na bingwa wa mkanda wa mabara wa World Boxing Federation ‘WBF’ katika uzani wa Super Middle ni ile aliyowahi kuandikwa na vyombo vya habari nchini kuwa ‘Kidunda adundwa’. Lakini sasa katika upande mwingine wa  kiprotokali katika Serikali ya Tanzania,…

Read More

TASAC yakabidhi gawio Bilioni 19, Rais Samia atoa maagizo

Kwa mafanikio makubwa, Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) limejitokeza kama moja ya taasisi za serikali zilizoshiriki katika utoaji wa gawio kwa mfuko wa Hazina ya Taifa zilizopokelewa na Mheshimiwa, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo tarehe 11 Juni, 2024 Ikulu jijiji Dar es Salaam. Gawio hilo limewasilishwa…

Read More

Rahis, waziri wako wa fedheha anatuhujumu

Mtukufu Dk, Dk, Dk, Dk, Dk Rahis. Naambwa unazo PhD tano.Sina tabia ya kupongeza. Hivyo, kwa taadhima, nakuomba usishangae. Mie ni fyatu. Si msifiaji wala chawa. Ndo maana sianzi kwa mashairi, mapambio, ngojera na kamba. Huwa namsifu Sir God pekee na siyo masanamu wa kuchongwa na machawa ili wapate kujaza mitumbo. Si kazi yangu, maana…

Read More

RAIS WA ZANZIBAR AFUNGUA KONGAMANO LA MIAKA 60 YA MAPINDUZI MATUKUFU YA ZANZIBAR NA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Kongamano la Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, linalofanyika katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein SUZA Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo 11-6-2024.WASHIRIKI wa Kongamano la Miaka 60 ya Mapinduzi…

Read More

Biashara, Tabora  mechi ya akili leo

HESABU za nani kucheza Ligi Kuu baina ya Tabora United na Biashara United zinaanza leo Jumatano pale wapinzani hao watakapokutana katika mchezo wa kwanza wa play off. Mchezo huo ambao utapigwa uwanja wa Karume mjini Musoma, Biashara United ndio watakuwa wenyeji dhidi ya wapinzani hao wa mjini Tabora. Timu hizo zinakutana baada ya wenyeji kushinda…

Read More

Masauni awapa darasa askari waliopandishwa vyeo

Dar es Salaam. Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni amewataka askari na maofisa wa vyombo vya usalama waliopandishwa vyeo na Rais Samia Suluhu Hassan kutenda kazi kwa kufuata haki na uadilifu katika kuwahudumia wananchi. Ameeleza hayo leo Juni 11, 2024 jijini Dar es Salaam, wakati akifungua kikao cha Tume ya Jeshi la Polisi, Magereza,…

Read More