
Nini kinafuata kwa kizazi cha Gen-Z? – DW – 13.08.2024
Huku Kenya ikikabiliana na kupanda kwa gharama za maisha na sera za serikali zenye utata, Generation Z – neno linalotumiwa kwa ujumla kuelezea vijana waliozaliwa mwishoni mwa miaka ya 1990 na mwanzoni mwa miaka ya 2000 – wameingia kwenye mkondo wa kidijitali, wakitumia nguvu ya mitandao ya kijamii kuchochea wimbi la maandamano na harakati za…