
NEMC yashusha rungu miradi isiyofanya tathmini ya mazingira
Dar es Salaam. Baraza la Taifa la Uhifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limetaka miradi yote ambayo haikufanyiwa tathmini za mazingira (EIA) kufanya hivyo. Kwa yenye vyeti imetakiwa kutoa mrejesho wa tathimini wa kila mwaka kama sheria inavyotaka. NEMC imesema hayo ikiwataka wamiliki na viongozi wa miradi ambayo haijafanyiwa EIA kufanya hivyo kwa kuwa baraza…