Mwinyi Zahera ataka mechi 3 Namungo
KOCHA Mkuu wa Namungo, Mwinyi Zahera amesema timu yake ipo tayari kwa asilimia 80, atatumia mechi tatu za kwanza za Ligi Kuu Bara kutengeneza kikosi cha kwanza. Namungo wamecheza mechi tatu za kirafiki wakishinda mbili na kufungwa moja, walianza na Singida Black Stars walishinda mabao 2-0, walifungwa na Dodoma Jiji 3-0 na walishinda dhidi ya…