
Bakita kuongoza maadhimisho Wiki ya Kiswahili
Dar es Salaam. Baraza la Kiswahili Tanzania (Bakita) linatarajiwa kuadhimisha juma la Kiswahili ambalo litaangazia fursa za maendeleo ya lugha hiyo duniani. Wanazuoni na wageni kutoka nje wanatarajiwa kueleza namna wanavyojifunza Kiswahili. Bakita limetenga siku sita kwa ajili ya maadhimisho ya siku ya Kiswahili yanayobebwa na kaulimbiu ‘Fursa za maendeleo ya kugha ya Kiswahili.’ Maadhimisho…