MERIDIANBET YAGAWA TABASAMU MBEZI – MICHUZI BLOG

  MABINGWA wa misimu yote wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet wametoa tabasamu kama ambavyo imekua kawaida yao, Leo ni Mbezi ndio wameweza kupata fursa ya kufurahi kutokana na uwepo wa Meridian. Kampuni hiyo inayisifika kwa michezo ya kubashiri imefika eneo la Mbezi leo na kuweza kugawa vifaa vya michezo kama mipira katika kuhakikiha wanainua michezo…

Read More

Polisi yatoa kauli mechi ya Simba,  Stellenbosch

ZIKIWA zimebaki siku tatu kabla ya mchezo wa nusu fainali wa Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Simba na Stellenbosch ya Afrika Kusini utakaopigwa kwenye Uwanja wa New Amaan Complex mjini Zanzibar, Jeshi la Polisi limeonya kuwa mashabiki wanapaswa kuzingatia taratibu zilizowekwa vinginevyo halitasita kuwachukulia hatua watakaozikiuka. Jeshi hilo limesema ulinzi utaimarishwa kipindi chote cha…

Read More

Anayedaiwa kuendesha biashara ya upatu ajifungua gerezani

Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeelezwa kuwa Mkurugenzi wa kampuni ya mikopo ya Atlantic Micro Credit Limited, Wendy Ishengoma (38) anayekabiliwa na mashitaka ya kuendesha biashara ya upatu, ameshindwa kufika mahakamani hapo kutokana na kujifungua. Mshtakiwa huyo ambaye alifutiwa shitaka moja la kutakatisha fedha, amejifungua mtoto wa kiume, Ijumaa Februari 21, 2025…

Read More

Dybala, Lukaku namba zilivyopishana | Mwanaspoti

ROMA, ITALIA: Supastaa Paulo Dybala, nyota wa kimataifa wa Argentina na Roma ya Italia anaujua mpira. Ndiye straika tegemeo katika kikosi cha kwanza cha Wataliano hao, ingawa linapokuja suala la timu ya taifa anasugua sana benchi. Kwa Roma, mastaa kibao wanakaa benchi wakisikilizia mwamba amalize kazi yake uwanjani ndipo waingie au anapokuwa majeruhi. Na hata…

Read More

Mastaa BDL walivyoiteka Taifa Cup

BAADHI ya wachezaji wanaocheza katika Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL) waliocheza katika mikoa mbalimbali kwenye mashindano ya kombe la taifa mjini Dodoma walikuwa kivutio kutokana na kuonyesha ubora. Wachezaji hao ni Haji Mbegu, Ally Faraji (Dar City) walioichezea Unguja na Mwalimu Heri pamoja Evance Davies (Outsiders) walioichezea timu ya Mkoa wa…

Read More

Winga teleza azitia vitani Pamba Jiji, Mtibwa Sugar

Mtibwa Sugar imeingilia dili la kumpata winga mshambuliaji wa Kagera Sugar, Erick Mwijage, baada ya nyota huyo kufikia makubaliano ya masilahi binafsi ya kujiunga na Pamba Jiji ya jijini Mwanza, kabla ya waajiri wake kuweka ngumu. Nyota huyo alifikia makubaliano ya kujiunga na Pamba kwa mkataba wa mwaka mmoja, ingawa nyota huyo alikuwa na kandarasi…

Read More