
Makamu wa Rais Malawi, wengine tisa wafariki dunia ajali ya ndege
Blantyre. Rais wa Malawi, Dk Lazarus Chakwera ametangaza kupatikana ndege ya Jeshi la Malawi iliyokuwa imembeba makamu wa Rais wa nchi hiyo, Saulos Klaus Chilima (51) ikiwa imepata ajali katika msitu wa Chikangawa. “Ndege imepatikana, na nimehuzunishwa sana na ninasikitika kuwajulisha wote. Imekuwa mkasa mbaya,” amesema hayo wakati akizungumza na vyombo vya habari leo. Ndege…