
Rais Samia atengua uteuzi wa RC Simiyu, Kihongosi kumrithi
Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan ametengua nafasi ya Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dk Yahaya Nawanda, huku akiteua viongozi wanne na kuigusa tena ofisi yake. Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa leo Jumanne Juni 11, 2024 na Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Sharifa Nyanga inasema nafasi ya Dk Nawanda inajazwa na…