UDOM KIDEDEA MASHINDANO YA TEHAMA YA HUAWEI TANZANIA.

Balozi wa China nchini Tanzania, Mhe. Chen Mingjian, akikabishi zawadi kwa mshindi wa Kike wa Chuo Kikuu cha Dodoma, Bi. Pulcheria Sumia. Kushoto ni mshindi mwingine wa Kike kutoka Taasisi ya Technolojia Dar Es Salaam (DIT), Bi. Jokha Amin. ……………. Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimeshinda Mashindano ya Kitaifa ya TEHAMA ya HUAWEI Tanzania kwa…

Read More

BRELA “unaweza kupata Leseni popote kikubwa mtandao”

Katika kuhakikisha wanaendelea kurahisisha utoaji huduma Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) umesema kupitia mfumo wa kimtandao wa ORS unaoweza kupata huduma zao zikiwemo za kufanya sajili za kibiashara kama leseni ya kiwanda au kusajili ukiwa kokote kule hata kama utakuwa kitandani. Hayo yamesemwa na Endrew Mkapa ambaye ni Mkurugenzi wa Leseni kutoka…

Read More

TANZANIA YAUNGA MKONO UAMUZI WA SADC – MAJALIWA

*_Ni kuhusu mbinu za uvunaji wa maji na udhibiti wa mafuriko_* WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Tanzania inaunga mkono uamuzi wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) juu ya kuongeza mbinu za uvunaji wa maji, udhibiti wa mafuriko na miundombinu ya kuhifadhi maji hayo ili yatumike wakati wa ukame ama kiangazi kuzuia mafuriko…

Read More

Waliotoa ushahidi kesi ya ‘waliotumwa na afande’ wafikia 10

Dodoma. Mashahidi 10 wameshatoa ushahidi wao kwenye kesi ya jinai inayowakabili washtakiwa wanne wanaokabiliwa na mashtaka ya kubaka kwa kikundi na kumwingilia kinyume na maumbile, binti mkazi wa Yombo Dovya jijini Dar es Salaam. Mpaka Agosti 30, 2024 jumla ya mashahidi sita walikuwa wameshatoa ushahidi, akiwemo binti anayedaiwa kufanyiwa vitendo hivyo aliyetambulishwa mahakamani kwa jina…

Read More

Mwandishi wa habari The Guardian Morogoro afariki Kwa ajali

Morogoro. Mwandishi wa habari aliyekuwa akiandikia Gazeti la The Guardian mkoani Morogoro, Michael Sikapundwa amefariki dunia baada ya kupata ajali ya gari wakati akirudi nyumbani kutoka kazini. Mwenyekiti wa klabu ya waandishi wa habari mkoani Morogoro, Nickson Mkilanya amethibitisha kifo cha mwandishi huyo ambaye siku chache zilizopita amerudi akitokea China alikokwenda kusoma. Mkilanya amesema, Sikapundwa…

Read More

Bavicha wajitosa sakata la ‘kutekwa’ aliyechoma picha ya Rais

Dar es Salaam. Wakati giza likiendelea kutanda kuhusu alipo Shadrack Chaula anayedaiwa kutekwa na watu wasiojulikana, Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bavicha), limesema litatumia siku ya vijana dunia kutangaza hatua watakazozichukua ili kukomesha vitendo hivyo. Bila kuzitaja hatua hizo, mratibu wa uhamasishaji wa Bavicha, Twaha Mwaipaya ameiambia Mwananchi leo Alhamisi Agosti…

Read More