
ACT Wazalendo: CCM wamepoteza misingi wajiandae kutupisha, wenyewe wajibu
Unguja. Chama Cha ACT Wazalendo kimesema kimejipanga kushika dola mwaka 2025 kwani Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepoteza misingi ya ilani ya ASP iliyoasisiwa na Hayati Abeid Aman Karume. Kauli hiyo imetolewa na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Zanzibar, Ismail Jussa jana Juni 9, 2024 katika mwendelezo wa mikutano ya chama hicho maarufu ‘bandika bandua’ katika…