
Malisa adakwa na Polisi mahakamani Kisutu, kesi yaahirishwa
Dar es Salaam. Ofisa Afya ya Jamii, Godlisten Malisa (38) anashikiliwa na Jeshi la Polisi baada ya kukamatwa kwenye viunga vya Mahakama ya Kisutu. Malisa na Meya wa zamani wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob( 42) wanakabiliwa na kesi ya jinai namba 11805/2024 yenye mashitaka matatu ya kuchapisha taarifa za uongo katika mtandao wa kijamii…