
Jukata lachambua sheria za uchaguzi, lataja kasoro 11
Dar ea Salaam. Jukwaa la Katiba Tanzania (Jukata), limebainisha kasoro 11 zilizopo katika sheria za uchaguzi za mwaka 2024, likieleza baadhi ya vipengele vinaibua wasiwasi kuhusu uadilifu wa mifumo ya uchaguzi. Miongoni mwa kasoro hizo ni kuendelea na makamishna wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi katika Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, kutumia watumishi wa…