
MWENGE WA UHURU WAZINDUA KITUO CHA MAFUTA CHA KOIL SANGO..
Na WILLIUM PAUL, MOSHI. KIONGOZI wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2025, Ismail Ali Ussi amewaataka wamekezaji kujitokeza katika kuwekeza kwenye miradi mbalimbali ili kuongeza ajira na kukuza uchumi wa nchi Ameyasema hayo leo, June 29 wakati wakizindua kituo cha mafuta cha Kifaru Oil Investment Company LTD (Koil) kilichopo kata ya Kimochumi wilaya ya Moshi…