
Vyama vya mrengo wa kulia kuwa na ushawishi zaidi Ulaya? – DW – 10.06.2024
Katika uchaguzi wa Bunge la Ulaya, vyama vya siasa kali za mrengo wa kulia vilitumia wasiwasi wa wapiga kura juu ya mfumuko wa bei, uhamiaji na gharama za wakati huu ulimwengu ukiwa kwenye nyakati za mpito kuelekea matumizi ya nishati safi. Vyama vya siasa kali za mrengo wa kulia na vinavyopinga uwepo wa taasisi ya umoja…